Vyomvo vya habari vya Marekani vinaashiria kwamba Rais Barack Obama atachaguliwa kwa awamu ya pili baada ya kushinda uchaguzi wa Jumanne.
Mamilioni ya wamarekani wanapiga kura katika uchaguzi muhimu wenye ushindani mkubwa kuwahi kutokea. Wapiga kura wengi wamekuwa wakisubiri kwa saa kadhaa kupiga kura zao.
Rais wa Marekani Barack Obama na mpinzani wake Mitt Romney siku ya jumatatu walifanya kampeni za dakika za mwisho kwa wapiga kura katika majimbo muhimu
Kampeni ya zaidi ya mwaka mmoja kugombania kiti cha rais kwa miaka minne ijayo hapa Marekani inafika kikomo Jumatatu usiku.
Majimbo hayo yataelezea nani atapata kura za wajumbe 270 za wabunge waliohitajika kumuwezesha mgombea kuingia White House
Obama asema utawala wake umeonyesha uwezo kwa kuweka vikwazo vikali Iran.