00:00 - 00:00 Ijumaa 4 Jun
Kwa mara nyingine katika mashindano ya kimataifa wanariadha wa Kenya walitamba kwa kushika nafasi sita za kwanza katika marathon ya Athens Novemba 11,2012
Ratiba ya kupanga makundi katika fainali za kombe la mataifa Afrika mwakani huko Afrika Kusini itapangwa Jumatano, Oktoba 24
Stephen Kiprotich aliongeza kasi katika dakika za mwisho na kuweza kuipatia Uganda medali ya kwanza ya Olimpiki katika marathon na michezo ya mwaka huu
Kenya inaongoza katika medali kwa nchi za Kiafrika, wakati nchi nyenginezo hazikufua dafu kama kawaida ya Afrika katika michezo ya Olimpiki
Gelani wa Kenya ashinda marathon, Jeptoo achukua nafasi ya pili wakati Wakenya wengine wawili waambulia patupu
Mashindano hayo ya siku 17 katika michezo 26 yataanza Jumamosi na kuendelea hadi August 17
Washika nafasi tatu za kwanza kwa upande wa wanawake na wanaume
Finali za kombe la matiafa ya Afrika zinaendelea vyema Gabon na Equatorial Guinea, Ivory coast ikianza kwa kuishinda Sudan.
Bingwa wa zamani wa ndondi uzito wa juu duniani Joe Frazier afariki dunia akiwa na umri wa miaka 67, baada ya kuugua ugonjwa wa saratani
Wakenya washika nafasi 10 kati ya 11 za juu katika mbio hizo wakati Kipsang akosa rekodi ya dunia kwa sekunde tatu tu
Uganda yatolewa baada ya kutoka sare na Kenya, Tanzania yachapwa 3-1 na Morocco, DRC yaanguka kwa Cameroon
Mwanadada Mkenya Florence Kiplagat ashinda mbio za wanawake katika muda wa saa mbili, dakika 19 na sekunde 43
FIFA inategemewa kutoza wachezaji faini au kuwafungia maisha.
Mkenya Geoffrey Mutai ashinda mbio ndefu za Boston marathon kwa rekodi mpya ya dunia.
Mashabiki saba wa kandanda wauwawa kwa kukanyagwa Jumamosi wakijaribu kuingia uwanjani Nairobi wakati wa mchuano wa timu mbili mashuhuri
Bondia Mmarekani Floyd Mayweather Jr. akabiliwa na mashitaka yanayoweza kumpeleka gerezani miaka 30.
Bingwa wa mchezo wa Golf duniani Tiger Woods ameachana na mkewe Elin Nordegren kwa maridhiano kati yao wawili.
Mabingwa wa Ulaya Hispania kukwaana na Uholanzi kwenye fainali ya kombe la dunia.